IQNA-Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyid Ali Khamenei ameutaka Ulimwengu wa Kiislamu kutoruhusu suala la Palestina lisahaulike akisisitiza ulazima wa kukabiliana na mauaji ya kimbari yanayoendelea kufanywa na utawala ghasibu wa Israel katika Ukanda wa Gaza unaozingirwa.
Habari ID: 3480666 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/05/10
Umoja wa Kiislamu
TEHRAN (IQNA)- Kongamano la 36 la Kimataifa la Umoja wa Kiislamu litafanyika mjini Tehran kuanzia tarehe 17 hadi 22 Oktoba kwa kuhudhuriwa na wasomi na wanafikra kutoka sehemu mbalimbali za dunia.
Habari ID: 3475898 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/10/08
Ibada ya Hija na kadhia ya Palestina
TEHRAN (IQNA) - Kongamano kuhusu kadhia ya Palestina na wajibu wa Umma wa Kiislamu kuhusu Palestina lilifanyika katika mji mtakatifu wa Makka.
Habari ID: 3475463 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/07/05